kulala kupita kiasi

kulala kupita kiasi

korino

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,004
Reaction score
666
habari zenu wanajamii! nina ujauzito wa miezi 9 sasa lakn nina tatizo la kulala usingizi mzito kila wakati!kadri cku znavyoendelea huwa nazidi kulala sana! asubuhi nikishaamka nakunywa chai nzuri baada ya kunywa tu nacnzia sana so nakwenda kulala! siamki mpaka mchan mda wa kula na nikimaliza tu nalala tena hadi jion ambapo nafanya working! inshort ucngizi umenijaa! najitahd kujicontrol lkn nashindwa! kichwa mda mwingi kizito na macho mazito! natumia vidonge vya folic acid pamoja na fefol! nisaidieni jaman hili tatizo ni kawaida au ni ugonjwa?7bu naskia wajawazito wengi kipindi cha mwezi wa mwisho wanakuwa hawapati usngizi lkn sio mimi jamani nalala kupitakiasi!ahsanteni
 
jee usiku unalala?kipindi cha mwisho wa uja uzito,usingizi huwa unaruka usiku na sio mchana.
 
jee usiku unalala?kipindi cha mwisho wa uja uzito,usingizi huwa unaruka usiku na sio mchana.

nalala mchana sana dada angu na ucku pia nakuwa hoi kwa ucngizi!
 
kwanini usiende kupima damu, choo na urine,labda unaweza pata ufumbuzi kuanzia hapo.

damu na urine huwa napima mara kwa mara,labda niende hosp kwa kupma choo kikubwa! shukran kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom