Kulalia tumbo { kifudifudi}

Kulalia tumbo { kifudifudi}

Madoido

Senior Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
134
Reaction score
15
Hello wadau? mimi ni kijana wa kiume miaka 34 na ni mpenzi wa vinywaji vikali ,,sasa tatizo langu napenda sana kulala kifudifudi. Naomba ushauri je sijiweki hatarini kwa afya yangu kwa kulala kifudifudi? ni mnajua mambo ya figo,ini na viungo vingine ndani ya tumbo...namaanisha nalala hivyo huku nikiwa masanga..NAOMBA USHAURI?

Mdau
 
Acha vinywaji vikali vitakusabishia magonjwa hayo uliyotaja kama figo, ini na moyo wala kulala kifudifudi hakuna madhara kama hayo
 
kumbe mitindo ya ulalaji inaweza kusababishia matatizo ya kiafya!!! sikuwahi kujua hilo.
 
kwa wanaume kulala kifudifudi hakuna madhara, ila jihadhari na Popobawa!
 
pendelea kulalia mgongo au ubavu wa kulia.. Utakuwa salama
 
Back
Top Bottom