Kulamba matapishi yako mwenyewe...........lol

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Hivi ni sahihi kweli ukamtapika mtu jana ukidai mapigo hayakujitosheleza au haniridhishi au sikuridhika naye.........halafu kesho ukadai umesikia hamu ya kulamba matapishi yako mwenyewe....................kisingizio huwa.............ni..........no love lost....................au nimegundua niliteleza.................now I'm back with a purpose
 
Pole sn rafiki yangu...inawezekana kbc..hasa pale ambapo umeenda kwngne ukaona hapafai kuliko...bora uliemtapika so unarudi. Ishu ni km hyo nafasi bado ipo maana hz mambo ukiachia wenzako wanashika.
 
if its for the man, everything is possible, even impossible is possible.
 
Wasohaya wana mji wao, wapo wengine wanaongea mbovu na kujiapiza sirudi katu sirudi,mara ghafla bin vuu unamuona kama sio yeye wala aibu haoni na samahani fake kwa wingi........
 
Hivi ni sahihi kweli ukamtapika mtu jana ukidai mapigo hayakujitosheleza au haniridhishi au sikuridhika naye.........halafu kesho ukadai umesikia hamu ya kulamba matapishi yako mwenyewe....................kisingizio huwa.............ni..........no love lost....................au nimegundua niliteleza.................now I'm back with a purpose
maneno ya mkosaji,..sizitaki mbichi hizi wakti unazitolea macho
 
Ni sahihi kutegemeana na nini kiliwafikisha kwenye kutapishana kabla, kuna hasira, kuna kuwa mis-informed, kuna tamaa...wakati mwingine kama nafasi ya kujirudi ipo, si vibaya ukiyalamba matapishi yako,kwa mustakabali wa furaha na amani yako ya maisha yajayo.
 
Kwa tamaa ya mwili mtu anaweza kufanya hivyo....
ila na anaefuatwa akikubali ni zoba

wengi hili hawlalioni hudai kuwa kosa siyo kosa bali kurudia kosa na huku wanarudia kosa.............siwaelewi miye.........
 
Ruta bana nini tena kimekupata??? Pole angalia na yeye asijekuwa kashapata mwingine

Dena ulipotelewa wapi nilikuwa ninaanda makala ya kutangaza obituay yako......afadhali umeniwahi.................akipata nitashukuru sana kwa sababu furaha ya mvuvi ni kuvuja kwa pakacha..................
 
Pole sn rafiki yangu...inawezekana kbc..hasa pale ambapo umeenda kwngne ukaona hapafai kuliko...bora uliemtapika so unarudi. Ishu ni km hyo nafasi bado ipo maana hz mambo ukiachia wenzako wanashika.

issue inatoka wapi naye aliona simfai sasa leo ipi kimebadilika...............................naogopa maumivu ya mara ya pili
 
Ni sahihi kutegemeana na nini kiliwafikisha kwenye kutapishana kabla, kuna hasira, kuna kuwa mis-informed, kuna tamaa...wakati mwingine kama nafasi ya kujirudi ipo, si vibaya ukiyalamba matapishi yako,kwa mustakabali wa furaha na amani yako ya maisha yajayo.

tamaa na kuthamini ushauri wa watu baki.........yote haya yaweza kujirudia wakati wpowpte ule...................better say no thank you
 
Back
Top Bottom