Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Hivi ni sahihi kweli ukamtapika mtu jana ukidai mapigo hayakujitosheleza au haniridhishi au sikuridhika naye.........halafu kesho ukadai umesikia hamu ya kulamba matapishi yako mwenyewe....................kisingizio huwa.............ni..........no love lost....................au nimegundua niliteleza.................now I'm back with a purpose
Kwa tamaa ya mwili mtu anaweza kufanya hivyo....
ila na anaefuatwa akikubali ni zoba
maneno ya mkosaji,..sizitaki mbichi hizi wakti unazitolea machoHivi ni sahihi kweli ukamtapika mtu jana ukidai mapigo hayakujitosheleza au haniridhishi au sikuridhika naye.........halafu kesho ukadai umesikia hamu ya kulamba matapishi yako mwenyewe....................kisingizio huwa.............ni..........no love lost....................au nimegundua niliteleza.................now I'm back with a purpose
pole sana.
Akitaka kurudi chunguza,si ajabu anarudia wallet yako!
yamekukuta RUTA..
Kwa tamaa ya mwili mtu anaweza kufanya hivyo....
ila na anaefuatwa akikubali ni zoba
Ruta bana nini tena kimekupata??? Pole angalia na yeye asijekuwa kashapata mwingine
Pole sn rafiki yangu...inawezekana kbc..hasa pale ambapo umeenda kwngne ukaona hapafai kuliko...bora uliemtapika so unarudi. Ishu ni km hyo nafasi bado ipo maana hz mambo ukiachia wenzako wanashika.
Ni sahihi kutegemeana na nini kiliwafikisha kwenye kutapishana kabla, kuna hasira, kuna kuwa mis-informed, kuna tamaa...wakati mwingine kama nafasi ya kujirudi ipo, si vibaya ukiyalamba matapishi yako,kwa mustakabali wa furaha na amani yako ya maisha yajayo.
maneno ya mkosaji,..sizitaki mbichi hizi wakti unazitolea macho