Kurutamjanja
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 396
- 374
Wana Jf,ushauri wenu wadau. binafsi shughuli zetu wengine zinahusiana na kushika pesa muda waote huku uraiani. hakuna vifaa vya kuhesabia pesa. na muda mwingi tukiwa tunahesabu pesa za noti huwa tunalamba vidole na kuendelea kushika noti hizo. sasa je kuna madhara yoyote ambayo binadamu anaweza kuyapata? Msaada tafdhali wadu kwa anayejua.