Yule refa ni al shabab mwandamizi. USA wanamjua vizuri ndiyo maana wakampiga pin bila kumwangalia usoniLeo nimekumbuka wenzangu waliopta bahati kusoma USA kwa msaada wa serikali ila wote walikataa kurudi nchini.
Kuna nchi ambazo raia wake wakifa huko ni ngumu serikali yake kumchukua.
Kuna mataifa ambayo yanaweza kutumia njia hii japo mnaona ubaguzi ila mtasikia mbeleni.
Mfano yule refa Somalia faili lake liko mbioni.