Toa ubarikiweLeo naenda kudai
Si kumdai tu, kama una misuli mkabe hata koo kijulikane.Kuna mahali huwa napata mlo mara kwa Mara.
Nimezoeana na wahudumu wote.
Tip huwa nawaachia mara zote.
Ila kuna huyu mmoja akiwa zamu nakosa amani kabisa,
Huduma ni mbovu halafu anaminyia chenji yangu.
Nakwazika kwakua huduma ni mbovu halafu analazimisha kubaki na hela yangu.
Wenzake huwa nawaachia tip ila yeye anajimilikisha hata hajapewa.
Leo ni zamu yake, lazima nimdai.