Nakubaliana na wewe kwa upande mmoja lakini kubadili namba kunaweza kubadili tabia ya mtu? Kwasababu naamini kabisa kwamba kama mimi nataka kuongea na watu fulani ntaongea nao tu hata kama utanilazimisha kubadili namba, ofcoz they will be the first to know that i have changed the number and now am using this numberNi vizuri kubadili no maana umeanza maisha mapya na simu ni source ya many evils kwenye mahusiano
unaweza kuwa wewe utaki tena paparapapara hao wa nje wakawa wanakutafuta na kuleta usumbufunakubaliana na wewe kwa upande mmoja lakini kubadili namba kunaweza kubadili tabia ya mtu? Kwasababu naamini kabisa kwamba kama mimi nataka kuongea na watu fulani ntaongea nao tu hata kama utanilazimisha kubadili namba, ofcoz they will be the first to know that i have changed the number and now am using this number
ndio mfano mimi kuna watu siwataki kabisa na wananisumbua tena mtu anakupigia simu usiku wa manane yaani any time akifeel as ana no yako anapiga nikiwa na mtu ni lazima nibadilishe hii no maana sidhani kama atanielewaAnhaa kwahiyo cha msingi hapa ni mtu kuwa na nia ya dhati kubadilisha mwenyewe na sio kufanya hivyo kwa shinikizo la upande wa pili
Okay, mi nadhani kuna kitu kingine cha kutazama hapa, wanaume mara nyingi tunakuwa nagging kwenye sehemu ambazo tunaona kuna uwezekano wa kupata kitu. Kwahiyo kuna uwezekano wa nyie wanawake kuwa mnachangia kusumbuliwa kwasababu mnakuwa hamko straight kwa hawa watu, kwa mfano unamwambia mtu sikutaki na sitaki unipigie simu, na hata akipiga hupokei believe me baada ya mara mbili tatu atakuwa hakusumbui tenandio mfano mimi kuna watu siwataki kabisa na wananisumbua tena mtu anakupigia simu usiku wa manane yaani any time akifeel as ana no yako anapiga nikiwa na mtu ni lazima nibadilishe hii no maana sidhani kama atanielewa
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanaume/wanawake kuwalazimisha wapenzi wao hasa wanapokuwa wanaelekea kuoana ama baada ya kuoana kubadilisha namba zao za simu au kuachana na marafiki wote waliokuwa nao kabla.
Hii tunaionaje jamani, mi imeshanitokea bhana ka gf kangu ka zamani kameolewa kamelazimishwa kubadili namba............... is this kutokujiamini au nini?
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wanaume/wanawake kuwalazimisha wapenzi wao hasa wanapokuwa wanaelekea kuoana ama baada ya kuoana kubadilisha namba zao za simu au kuachana na marafiki wote waliokuwa nao kabla.
Hii tunaionaje jamani, mi imeshanitokea bhana ka gf kangu ka zamani kameolewa kamelazimishwa kubadili namba............... is this kutokujiamini au nini?
ulitaka kupiga kote kote hadi kieleweke sio?wengine mkianza tu mahusiano anakwambia ubadili namba afadhari ata huyo anayesubiri muoane...mweeeeh
i hate themokay, mi nadhani kuna kitu kingine cha kutazama hapa, wanaume mara nyingi tunakuwa nagging kwenye sehemu ambazo tunaona kuna uwezekano wa kupata kitu. Kwahiyo kuna uwezekano wa nyie wanawake kuwa mnachangia kusumbuliwa kwasababu mnakuwa hamko straight kwa hawa watu, kwa mfano unamwambia mtu sikutaki na sitaki unipigie simu, na hata akipiga hupokei believe me baada ya mara mbili tatu atakuwa hakusumbui tena
Kuanza maisha mapya ni sawa na mi nakubaliana na wewe kabisa but je kubadili hiyo namba kutakubadilisha wewe na tabia yako? Kama ndiyo je huwezi kubadilika na kuwa mtu mpya bila kubadili namba?We unaona ugumu gani kubadili? Si unaanza maisha mapya?