Kulazimisha mpenzi kubadili namba na kuachana na marafiki wa zamani

Hakuna utumwa hapo bali mambo mapya, na amebadili ili mawasiliano na x kama wewe hivi yaishe, Nakushauri usihangaike kumtafuta katika simu maana ndio mwanzo wa balaa huo
 
Kuanza maisha mapya ni sawa na mi nakubaliana na wewe kabisa but je kubadili hiyo namba kutakubadilisha wewe na tabia yako? Kama ndiyo je huwezi kubadilika na kuwa mtu mpya bila kubadili namba?

Yeah tabia itabadilika utaanza na marafiki wapya wale wa zamani unawaacha
 
hate them with your actions mama, ukiwa hutendi unavyohisi itakuumiza wewe na itakutesa wewe sio wao
ujue mtu mwingine anavoona unaishi anajipa moyo maybe utaingia line kumbe anakukera
 
Yeah tabia itabadilika utaanza na marafiki wapya wale wa zamani unawaacha
Alaaaa kumbe mvinyo wa zamani ndani ya chupa mpya eeh? Hahahahaaa tabia haibadilishwi kwa simu mama.........
 
ujue mtu mwingine anavoona unaishi anajipa moyo maybe utaingia line kumbe anakukera
Ndio hiyo nakwambia, show and tell them that u dont want them ukitell bila kushow they will keep coming (talkin as a man hapa)
 
Still haitosaidia kitu mtu akiwa na dhamira ya kufanya kitu atafanya tu hata ubadilishe namba mara 100.
 
Nakuunga mkono kwa hilo mkuu
Unajua Musimo mtu akiwa ana dhamira ya kufanya jambo fulani atafanya tu liwe baya au zuri ni utashi wa mtu ndio unawezA kumtuma afanye jambo fulani au lah!
 
Unajua Musimo mtu akiwa ana dhamira ya kufanya jambo fulani atafanya tu liwe baya au zuri ni utashi wa mtu ndio unawezA kumtuma afanye jambo fulani au lah!
Kweli kabisa, shinikizo lolote la kumfanya mtu abadili tabia na ikatokea huyo mtu akabadili huwa inachukua muda mfupi sana. Inakuwa kama kupaka rangi kwenye chuma chenye kutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…