Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Kenya IEBC bwana Wafula Chabukati katika kiapo chake mbele ya Mahakama ya juu Kwenye kesi ya kupinga matokeo ya Urais yaliyompa bwana Ruto Ushindi alidai kwa alishinikizwa na deep state kubatislisha matokeo ya Urais.
Hata hivyo hali ya hewa imebadilika ghafla pale bwana Tuju, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Azimio alipo ibuka hadharani na kusema bwana Chabukati na baadhi ya commissioner ya IEBC walimtembelea kwake na CCTV camera ziliwamulika na yuko tayari kuzitoa.
Tuendelee mtanange wa kisheria.