peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kuelekea uchaguzi mkuu October Moshi yametokea mengi kupitia wanaotaka kugombea ubunge Jimbo la Moshi mjini.kule kata za pasua na boma mbuzi madiwani wanaogawa vifaa vya kujikinga na corona wakati huo huo wakiomba Kura za ubunge .wakati huo huo wafuatao wako mitaani kuomba Kura na kugawa rushwa ili wapeweJimbo Hilo , ibra line, Patrick boisafi,mama shaly Raymond, mama minde, diwani wa Kata ya Kilimanjaro, wakumbuke kuwa watoa rushwa ndani ya CCM tayari sio wagombea wa CCM ni was chama kingine wanachokijua. Watu wa Moshi mjini waepukeni watu hao na wengine wanaotaka kuja kwa mgongo wa kutoa rushwa au kusaidia vikundi ili wapewe rushwa.