Kule Neymar Anacheka Kule Messi analia/anaombeleza.

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
PSg leo akishinda 3 kavu na Neymar akitupia kambani bao la tatu wakiwa ugenini kule kwa akina Messi ulikua msiba mzito baada ya kuchenjuliwa na Real madrid mikwaju 3 kwa moja tena wakiwa uwanja wao wa kujidai Nou Camp.

Je itakua mapema kusema Pengo la Neymar limeanza kuonekana??Sijui ila kwa kifupi Pique hapana magoli yote yeye ndo kawa highway kama ile ya Thika/kenya

Labda Paulinho atawasaidia game ijayo ya jumatano na kuweza kukomboa mikwaju yote,wanahitaji beki Jamii ya Puyol Pique is Very Soft hamuoni mwenzake Baily(man utd) mwanzo mwisho hakuna kucheka?

Je Real madrid watakubali yatokea yale Ya PSg? muda utasema...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
leo barcelona tumepatikana madrid walikua vizuri kuliko baadhi ya mechi zilizopita tulipocheza nao, pia madrid wana benchi zuri aisee anatoka mtu anaingia mtu sisi still tunaunga unga...najua mwalimu hatofocus sana kwenye mechi ya marudiano coz haina maana kivile lazima tufocus kwe ligi na champions league tunaendaje maana usajili msimu huu kila tunapoenda tunakataliwa...hongeren sn washabiki wa madrid kugoma kufungwa nasi mara tatu mfululizo but tutakutana league ikianza i hope tutakuwa tumeimprove tutarejea kwe utaratibu wetu wa kuwasulubu maana nyie na sisi kama uji na mgonjwa tunapiga tu 6,5,4 wala hamnaga shida..ila hongeren na isco wenu mnajidai nae kwelikweli siengoja tuendelee kuwagongea watu hodi ingawa tunakataliwa jila kona
 
BARCELONA ERA IS FINISHED!
 
wafanye usajiri wa haraka.
dembele+countihno+hazard +beki bila hivyo kipigo kinawahusu
 
Upumbavu ni kuamini Barcelona Is Finished, walikuwepo kina Luis Suareez (wengi hamumujui), Johan Cruyf, Lazslo Kubala, Hristo stoichkov, Romario, De lima, Rivaldo, Ronaldinho na Messi na Barca haikuyumba...so acheni ushabiki wa Kinazi Barca is Still the Best Club in Europe!
 
barcelona ni timu mfu inayosubiri kuzikwa
 
Kama kelele zile za Camp Nou haziwasaidia,pale Bernabeu mizimu ya Santiago,Puskas,Valdano,Di Stephano,Gonzalez,Morientes nk haitawaaca Barca,tamka Basa salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Messi naye awaze kwenda kusajiri timu nyingine ili aji Upgrade,
Toka kuzaliwa yupo Baselona, na anataka azeekee
hapohapo.
Na kufia hapohapo, katalunya.
 
Assensiooooooooooo,,Donaldooooooooooooooooooo,ilikuwa poa sana,mwanamke wangu alikuwa ameniudhi sana usiku wa jana lakini kwa hakika Madrid waliburudisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kelele zile za Camp Nou haziwasaidia,pale Bernabeu mizimu ya Santiago,Puskas,Valdano,Di Stephano,Gonzalez,Morientes nk haitawaaca Barca,tamka Basa salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Barcelona walikuwa wazuri kwenye eneo la penati la Madrid ila beki za Madrid zikiongozwa na waziri Mkuu Ramos na naibu wake Marcelo walikuwa imara sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
isije kuwa sizitaki mbivu hizi,msiposajili beki za kati hata Las palmas watawapa kisago tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…