Kule Waajemi na kule Wauthi aiseee dunia inahemea juuu

Upendo wa waislam wenye misimamo mikali ni wa unafiki mkubwa! Muislam anayewapenda watu wote bila ya kujali imani zao, ndiye mwente upendo wa kweli, na huyo atawapenda hata waislam wenzake.

Ukisikia jitu linajiita muislam halafu linaua wasio waislam eti jwa kwaajili ya kufuata mafundisho ya uidlam, hilo tarajia litaua hata waislam wenzake.

Hao Hezbollah, Houthis, Hamas, wote ni wakala wa shetani, hawana upendo kwa yeyote. Fikiria kule Gaza, wananchi waliandamana kukataa utawala wa Hamas, walichoambulia ni kuuawa na hao Hamas. Huko Yemen, Houthis wanawaua waislam wenzao ambao ni Wayemen wenzao. Huko Lebanon, Hezibollah mara nyingi wamewaua Walebanon wenzao, wakamwua mpaka Rafiq Harrir alitekuwa waziri mkuu.

Nyakati zote, Mashariki ya kati ndiyo imeongoza kwa mauaji.
 
The World is enjoying the religion of Peace!
 

Tanzania hakuna mauaji?
 
Mashariki yakati ipi iloongoza kwa mauaji😁
Mbona munapenda kujifanya wajuaji wakati hamuna munalolijua zaidi ya kukurupuka
Muna simu ila naona munazitumia kuangalia miziki
Kwataarifa yako America huko Africa na ulaya ndio wanaongoza kwa mauaji kwa nyakati zote
Mashariki yakati mauaji hua yanatokea ila sio kama huko America ulaya na Africa
Muache kukurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…