Ujinga tu vipi ukapime DNA kama humuamini mke wako anazaa watoto wa halali basi muwache yaishe.
Aisay huo ujinga sitaufanya hata siku moja...kwanza una garantee gani DNA itakupa result 100%
To be honest with u, mwanaume anapo fikia hatua hiyo....mimi namuona hazimtoshi, vipi akaowe mwanamke hujamuamini ana wasi wasi naye.
Mwanaume anaye jiamini lazima atamini hao watoto ni wake tu, wenye mashaka shaka ni wale wanaudhaifu flani, wanajua hawawapi tendo la ndoa wake zao vizuri....au walisha jua toka mwanzo wameowa malaya :biggrin: