Kulea Watoto ni Raha na Karaha

Kulea Watoto ni Raha na Karaha

Hapa TANZANIA AFRICANS tuna mila na desturi zetu kila kabila sasa km wewe mzungu endelea kuwa mzungu
Ila kama wewe ni miongoni mwa makabaila 120+ ya TANZANIA
Ona babu yake bibi yake au mama mtunzima yoyote wa makamo wa karibu mwenye HEKIMA zake utapata UFUMBUZI
Kwani waafrca SAYANSI yetu bado ipo sana

Ila ungekuwa MUISLAM basi ningekushauri UMUADHINIE sikio lake la kushoto
 
Nyie mnaleaje maana huyu analia kama Nini hata umpe Nini, au umfanyie Nini analia tu basi . Shida Nini??? Tusaidiane ??

Mtoto kulia sana inawezekana ana Hernia, hebu chunguza vizuri Kitovu, Ukuta wa tumbo juu ya kitovu, na sehemu zake za siri...Ova.
 
Ni maombi yangu upate uvumbuzi wa haraka maana kuna dogo hapa mtaani akiamua kukinukisha sio poa, namvutia picha huyo wako... Nashukuru wangu alikuwa halii labda awe na njaa au kajisaidia, akishanyonya mimi mtoto begani huyo kuzurura nae hana hata muda na mama yake kwanza
 
Back
Top Bottom