Kulea Watoto ni Raha na Karaha

Kulia ni mawasiliano kati ya mtoto na wanaomzunguka.
Yawezekana anahisi joto
Yawezekana anaumwa

Tuliwahi kuuguliwa na mtoto akawa analia tu akalazwa tatizo likagundulika baada ya siku 5 hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…