Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Nadhani madhara ya kauli hii mama unaiona sasa
Huko Mtwara askari wamefanya vile ulivyowaeleza wamekula na kuua lakini wakauana
Uchifu hauna tija katika zama hizi kama ungekuwa na tija Marekani na Ulaya wangekuwa wanaendelea nao
Ushauri tu tatua kero za wananchi achana na tuvitu ambavyo hatuna tija kwa Mtanzania
Kama hautabadilika tegemea makubwa zaidi ya hayo
Kama makamu wako na wewe hamfurahishwi na haya mauaji CHUKUENI HATUA una nyenzo zote kulalamika haisadii ukilalamika wewe sisi tufanyeje ambao hatuna jeshi wala silaha
IGP wako anakuangusha wana ukizubaa 2025 utaenda mchamba wima kula pensheni yako ya miaka 4 ya uongozi.