Kuleta gari Tanzania kutoka nchi ya nje

Kuleta gari Tanzania kutoka nchi ya nje

Somoe

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
754
Reaction score
282
Sheria na haki ya kuleta gari tz sijaielewa.

Mie nataka kuleta gari ambayo nimeikimiliki miaka 3 sasa.
Na ninampango wa kununua ingine nilete mbili kwa mpigo.
Nataka kuzitumia kibiashara.

Je hawa watu wa TRA wanasemaje huu mwaka wa 2013?
 
Back
Top Bottom