Watoto wote wanalia sawa.Kuhusu katika misiba it has more to do with culture than emotion.If anything, one can argue that Africans are more humane in that aspect and fully cognizant of their ignorance of what comes after death, despite all the hoopla.
Na haswa jamaa zetu wa Afrika Magharibi (Nigerian), maana wao hata kwenye kuongea tu balaa.Nimejionea jinsi tunavyoomboleza pale wapendwa wetu wanapotutoka. Pia nimejionea mbali na nyumbani, ughaibuni ndani ya usafiri wa umma, pale watoto wadogo wa Kiafirika wanapokuwa na wazazi wao wakiwa wanalia kwa sauti kubwa na kugalagala wakidai mahitaji yao.
Wakubwa kwa wadogo naona wote tunavilio vikubwa ambavyo havilingani ama sijapata kuviona katika kiwango hicho hicho kwenye jamii nyingine zisizo za Kiafrika. Are Africans more emotional? Naomba mawaidha yenu. Ahsanteni.
Bluray, kwa kweli hapo juu mimi sina uhakika sana. Maana nimeona watoto wa asili nyingine, mfano wakizungu, wakililia, tuseme nyonyo, na vile vile nimejionea watoto wadogo wakiafrika wakililia nyonyo, haijalishi ya chupa au ya chuchu za mama, kusema ukweli experience yangu naona watoto wa kiafrika wanaangua vilio vikubwa zaidi kwenye same needs. I could be wrong but this is just my sincere observation.
Kibunango, unataka kusema tukimsikia mtu msibani analia sana tena kwa makelele haswa tujue kuwa kuna walakin au...?Ukiacha misiba na watoto, wanawake wenye tabia ya kulia kwa kila jambo ni waongo! Au wana tabia ya uongo. Na iwapo wapo kwenye mahusiano basi ni dalili tosha kuwa ana tabia ya kucheat
Ukiacha msibani, let say mpenzi wako wamekusindikiza kupanda basi na unasafiri kwenda mbali na safari itakayo chukua muda mrefu mpaka urudi tena.Kibunango, unataka kusema tukimsikia mtu msibani analia sana tena kwa makelele haswa tujue kuwa kuna walakin au...?
Hiyo ya kuliliwa stand ya bus kwa sauti hiyo sasa kali. Lakini kuona machozi tu ya udhuni hiyo kawaida hata kwa wanaume.Ukiacha msibani, let say mpenzi wako wamekusindikiza kupanda basi na unasafiri kwenda mbali na safari itakayo chukua muda mrefu mpaka urudi tena.
Then mpenzi wako anaanza kulia kuwa unamwacha peke yake na blah blah zingine.. Hapo jua fika kuna uwalakini
Nimejionea jinsi tunavyoomboleza pale wapendwa wetu wanapotutoka. Pia nimejionea mbali na nyumbani, ughaibuni ndani ya usafiri wa umma, pale watoto wadogo wa Kiafirika wanapokuwa na wazazi wao wakiwa wanalia kwa sauti kubwa na kugalagala wakidai mahitaji yao.
Wakubwa kwa wadogo naona wote tunavilio vikubwa ambavyo havilingani ama sijapata kuviona katika kiwango hicho hicho kwenye jamii nyingine zisizo za Kiafrika. Are Africans more emotional? Naomba mawaidha yenu. Ahsanteni.
Ila siku hizi nasikia kuna vikundi maalum vya maombelezo na uliaji. Pesa kidogo tu na ukiwahakikishia mlo na pesa ya kilevi, basi watatia team msibani na kujaza msiba na vilio vyao na nyimbo za maombolezo....mbwembwe tu zile kaka, njaa ni kitu mbaya sana aisee!
Ila siku hizi nasikia kuna vikundi maalum vya maombelezo na uliaji. Pesa kidogo tu na ukiwahakikishia mlo na pesa ya kilevi, basi watatia team msibani na kujaza msiba na vilio vyao na nyimbo za maombolezo.
Ushishangae Bro, bongo vipaji vipo.Potential talents.... ironically, what does this explain?!
hata kwenye love making!the same scenario,AS PER MY EXIPERIENCE
...mbwembwe tu zile kaka, njaa ni kitu mbaya sana aisee!
njaa hata mcbani? ...au mie ndio niko nje ya mstari nini.