Ndio ni lazima alie, kulia kunafungua njia yake ya hewa (respiratory tree) na kufanya exchange ya oxygen na carbon dioxide kwenye mapafu kuanza kufanyika. Asipolia inamaana mtoto atakuwa na carbon dioxide nyingi sana kwenye damu na kusababisha chembe hai za kwenye ubongo (brain cells) kukosa hewa (hypoxia) na hii husababisha hizo cells zife matokeo yake mtoto anapata utaahira (cerebral palsy).