Kuliko Aibu ya kufukuzwa bungeni wale Wabunge wasio na chama wanaojiita wa Viti Maalum ni vema Wakajiuzulu wenyewe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wakati mwingine inabidi kubadili mbinu za Usaliti ili kuendelea kutafuna hela za ccm na za umma , Mipango ya Mwendazake kwa Covid 19 ni kama imeondoka naye , Ule ulinzi waliokuwa wanapewa na Msigina Katiba aliyekwenda haupo tena , mipango ya kuwaengua kwa aibu imekamilika .

Ili kuepuka jambo hilo wanapaswa kujiuzulu kabla ya Jumatatu
 
Haitokuja kukaa itokee. Chezea vyote, sio u jobless. Wapo kwenye VICOBA wana jeuri ya kukopa hela leo uwaambie wajiuzulu. Watapambana mpaka dakika ya mwisho.
 
Itakuwa bora k
Wakati mwingine inabidi kubadili mbinu za Usaliti ili kuendelea kutafuna hela za ccm na za umma , Mipango ya Mwendazake kwa Covid 19 ni kama imeondoka naye , Ule ulinzi waliokuwa wanapewa na Msigina Katiba aliyekwenda haupo tena , mipango ya kuwaengua kwa aibu imekamilika .

Ili kuepuka jambo hilo wanapaswa kujiuzulu kabla ya Jumatatu
Itakuwa bora kwani unafiki na usaliti ulizidi mno pamoja na uzalendo maslahi.
 
Wasubiri kwanza kikao cha Mbowe na Rais. Labda Rais atawashauri kitu kisha watafikia muafaka hao Covid 19 waendelee kubaki Bungeni.
 
Mnawaonea wivu wenzenu wanapiga hela?

Kina Halima hawaondoki hivi hivi! Subirini Mbowe atakapowapiga u turn hamtaamini
 
Wasubiri kwanza kikao cha Mbowe na Rais. Labda Rais atawashauri kitu kisha watafikia muafaka hao Covid 19 waendelee kubaki Bungeni.
Hawa wametimuliwa Chadema hilo halina maswali
 
Back
Top Bottom