Kuliko kutumia super black heri ufanye hivi

Kuliko kutumia super black heri ufanye hivi

Mwanakulipata

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2018
Posts
714
Reaction score
1,193
Poleni na swaumu, kuna wale wenye nywele za brown hivo ujikuta wakipaka super black...sasa kuliko kupaka super black kwenye nywele kwa lengo la kufanya nywele ziwe nyeusi

Ni heri uwe unaziosha kwa sabuni ya Unga alafu ukishamaliza unazipaka mafuta ya nazi (minara)..ukifanya hivi mara kadhaa utaona mabadiliko

#mwanakulipata
 
Su bora ungewashauri wawe wananyoa vipara muda wote!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Fafafanua vizuri hiyo sabuni na mafuta ya nazi inafanyaje nywele kuwa nyeusi?
 
Mbna umeeelza harakaharaka kwan unawahi wap?
 
Back
Top Bottom