KULIKO MBET

Alexism

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
3,423
Reaction score
2,046
Wanajamvi leo imetimia wiki tangu ni bet kupitia Mbet Multiple na Mbet Normal...kwenye simu yaani internet na pesa ndefu nilitumia kubet lakini cha ajabu mpaka leo sijalipwa kiasi nilichoshinda na nikipiga simu yaani inaita bila kupokelewa..Je nini kimetokea kama kampuni inafungwa au kufirisika inakuaje?Je mimi niliyepo hapa Mwanza kuna mtu anajua ofisi za hao jamaa Mbet
Mwenye taarifa plz msaada.
 
KULIKONI MBET
 
DECI ime expire mda wake, waliovuna heri yao mlioliwa ndo basi tena
 
offisi zao zipo maeneo ya upanga karibu na makao makuu ya jeshi namba zao ni 0622619808
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…