Kulikoni Benki leo hakuna mtandao wa malipo ya TPA!

Kulikoni Benki leo hakuna mtandao wa malipo ya TPA!

dali kimoko

Senior Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
114
Reaction score
139
Nataarifiwa na vijana wangu kuwa leo Benki zote hakuna mtandao wa malipo ya TPA , kama ni kweli basi kuna tatizo kubwa sana,
tunaomba mamlaka husika fuatilieni ili tulipe tutoe mizigo ya wateja wetu.
 
Natarifiwa na vijana wangu kuwa leo bank zote hakuna mtandao wa malipo ya TPA , kama ni kweli basi kuna tatizo kubwa sana,
tunaomba mamliaka husika fuatilieni ili tulipe tutoe mizigo ya wateja wetu.
Kwahiyo hapo tatizo litakuwa la mabank au la TPA?
 
Natarifiwa na vijana wangu kuwa leo bank zote hakuna mtandao wa malipo ya TPA , kama ni kweli basi kuna tatizo kubwa sana,
tunaomba mamliaka husika fuatilieni ili tulipe tutoe mizigo ya wateja wetu.
Sisi yeti ni kusema..............
 
Ndio tunatoa taarifa mamlaka zifuatilie kama ni tpa au bank zenyewe sababu hii mifumo iaingiliana.
 
Duuuh miye nimechukua mzigo wangu Be forward fast wana lao jambo hao
 
Back
Top Bottom