kulikoni Bodi ya mikopo????

kulikoni Bodi ya mikopo????

mazige

New Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Aisee jamani kwanini Bodi ya mikopo inachelewa kutoa majina...huku UDOM imetoa tangazo mwisho wakulipa Ada na Direct cost ni Mwisho wa mwezi huu 30/09/2013...BODI ITOE HAYO MAJINA TUJUE MOJA JAMANI kama tumepata au laa....
 
Kwa mujibu wa taarifa za heslb kwnye gazeti la the citizen la juzi, heslb wanasema kuanzia wiki ya pili ya mwezi wa kumi ndio watakua wamemaliza kwa 100% zoezi la utayarishaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu.
 
Aisee jamani kwanini Bodi ya mikopo inachelewa kutoa majina...huku UDOM imetoa tangazo mwisho wakulipa Ada na Direct cost ni Mwisho wa mwezi huu 30/09/2013...BODI ITOE HAYO MAJINA TUJUE MOJA JAMANI kama tumepata au laa....
Hizo deadline huwa zinawekwa 2,,,,,hazifuatwi wala nn,,we jipange 2 taratibu,,wa2 wnyw 2nasubiri vibei vya mazao vipande kdgo alaf 2uuze ndo 2ende vyuon,,,we uciogope
 
Hizo deadline huwa zinawekwa 2,,,,,hazifuatwi wala nn,,we jipange 2 taratibu,,wa2 wnyw 2nasubiri vibei vya mazao vipande kdgo alaf 2uuze ndo 2ende vyuon,,,we uciogope

hivi ni kweli kuwa deadline hazifatwi?unaweza kutoa ushuhuda wa aliyechelewa kulipa then akapolewa?
 
hivi ni kweli kuwa deadline hazifatwi?unaweza kutoa ushuhuda wa aliyechelewa kulipa then akapolewa?
Deadline za kulipa ada mara nyngi hazifuatwi,,si wa2 wote wanaolipa ada on time na hiyo inatokana na kupishana uwezo wa kimaisha,,wa2 wengine wanasubiri bodi ya mkopo iamue ndo wajue kama wanalipa ada kiasi gani,mfano mwaka jana walitoa deadline ya kulipa ada lakini wa2 walikuwa hawajui mchanganuo wa ada mpaka aende chuo ndo anajua huo mchanganua lakini kuhusu direct costs ni lazima ulipe,,mfano mzuri mimi apa,,mwaka jana mpaka nilipoenda chuo ndo nililipa ada na muda wao walosema ulishapita
 
Back
Top Bottom