Hizo deadline huwa zinawekwa 2,,,,,hazifuatwi wala nn,,we jipange 2 taratibu,,wa2 wnyw 2nasubiri vibei vya mazao vipande kdgo alaf 2uuze ndo 2ende vyuon,,,we uciogopeAisee jamani kwanini Bodi ya mikopo inachelewa kutoa majina...huku UDOM imetoa tangazo mwisho wakulipa Ada na Direct cost ni Mwisho wa mwezi huu 30/09/2013...BODI ITOE HAYO MAJINA TUJUE MOJA JAMANI kama tumepata au laa....
Wanajua kama vijana wanaenda jkt kwanza
Hizo deadline huwa zinawekwa 2,,,,,hazifuatwi wala nn,,we jipange 2 taratibu,,wa2 wnyw 2nasubiri vibei vya mazao vipande kdgo alaf 2uuze ndo 2ende vyuon,,,we uciogope
Deadline za kulipa ada mara nyngi hazifuatwi,,si wa2 wote wanaolipa ada on time na hiyo inatokana na kupishana uwezo wa kimaisha,,wa2 wengine wanasubiri bodi ya mkopo iamue ndo wajue kama wanalipa ada kiasi gani,mfano mwaka jana walitoa deadline ya kulipa ada lakini wa2 walikuwa hawajui mchanganuo wa ada mpaka aende chuo ndo anajua huo mchanganua lakini kuhusu direct costs ni lazima ulipe,,mfano mzuri mimi apa,,mwaka jana mpaka nilipoenda chuo ndo nililipa ada na muda wao walosema ulishapitahivi ni kweli kuwa deadline hazifatwi?unaweza kutoa ushuhuda wa aliyechelewa kulipa then akapolewa?