Kulikoni bus za Sauli?

Anakuletea uraia wa nchi gani? Askari ni watu wa hovyo sana hapa bongo!
 
We jamaa kiazi sana.

SAULI umeitaja.
New Force Umeitaja.

Hiyo kampuni nyingine hutaki kuitaja, halafu unalalamika kama Mwanamama.
 
Kwani ungejua saa ngapi kama anaenda kurudi kwa NDEGE, ungajua saa ngapi kama anaenda kulala HOTEL nzuri, ungejua saa ngapi kama atakutana na MDADA mzuri wa JF huko Mbeya??. Huyu huenda hata Saul anawasingizia ili afikishe ujumbe wake huo wa majigambo.
 
Ndiyo,
ABC ndilo gari kali Kwa sasa Mbeya, na route hii haina muda sana toka wameanzisha.
Ila ni VIP tu, hakuna semi luxury.


Sauli siku hizi wana mtindo wa kukatia watu wawili siti Moja,
Abiria wanakmjikuta wanagongana kwenye siti na wengine wanaishia kufaulishwa kwenye gari nyingine.
Pia Kwa ndani zimechakaa sana.
Japo mwendo ni uleule.
 
Sauli zimejichokea sikuhizi, maana ana bus chache na anapigisha route daily so ana zioverload sana na nyingi ni za zamani ukiacha lile marcopolo G7. Ila kilichomponza na yeye ni kuijifanya anakomaa na mascania tu, kwanza ni gharama ukitaka kununua jipya na running cost yake pia ni kubwa na hayarudishi hela kwa wakati so kuleta bus mpya inakuwa mtihani. Wenzie wanaotumia bus za kichina hizi ziko affordable ndiyo maana kila muda wanaleta bus mpya na mazingira ya ndani unakuta yako vizuri sana yaani very comfortable. Niliwahi kupanda ile Benz DPC 226 nilijuta, gari chafu ndani, seats zimeharibika haribika hovyo, mvua ikinyesha baada ya madirisha yalikuwa yanavuja nikaapa sipandi tena Sauli.
 
Na kile kiyoyozi chao kinampiga kelele kama jenereta
AC za Kila siti hakuna.
Seat zinaminya.
Kwa kweli hizi gari zimechakaa sana.
Cha kujivunia kwao kilichobakia ni mwendo tu.
 
Mkuu mtoa hoja Habari,ila naona umeacha maswali mengi kuliko majibu, why ukate ticket ya Sauli na usisafiri na bus hiyo?na ninaichukulia sentence yako kutoka kwa staff wa Sauli aliyekuonyesha bus nyingine with a pich of salt, watanzania wenzangu tuthamini juhudi za wenzetu, elewa watu wanatumia gharama kubwa kujenga brand zao halafu wewe unakuja na upupu huu it's so sad mkuu, why umeenda to low ili iharibu brand ya Sauli?,bus za Sauli zipo na elewa zina royal customer's wake,pls next time do me a favor nenda kapande bus zako za ngamia, na Sauli ya Tunduma to Dar inajaza kila siku (wafanya biashara na ITs driver's)watu wanaokimbiza maisha, mara ohoo mbeya hotel ,mara mwanamke wa JF (humu hakuna prostitute)mara kurudi na ndege sasa kuna watu humu waneshakwea Cathy pacific na wapo kimya, huu ni ukenge sana
 
Tumemmaind mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…