Kulikoni gawio la Vodacom!

Kulikoni gawio la Vodacom!

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Ndugu zangu mimi ni mwanahisa wa Vodacom ninauliza kama tayari wamekwishatoa gawio lao kwa wanahisa. Naona Mabenki tayari yamekwishatoa gawio kulikoni Vodacom?.
 
Nenda vodashop iliyo karibu nawe au jaribu kupiga huduma kwa wateja upate ABCs
 
Ndugu zangu mimi ni mwanahisa wa Vodacom ninauliza kama tayari wamekwishatoa gawio lao kwa wanahisa. Naona Mabenki tayari yamekwishatoa gawio kulikoni Vodacom?.
Mkuu tumeingia cha kike
Maana ni muds sana hatujapewa gawio....
Hisa zenyewe pia haziuziki

Ova
 
Back
Top Bottom