MjumbeOGG
New Member
- May 23, 2022
- 3
- 3
Utaratibu wa Walimu kuhama toka chama kimoja cha wafanyakazi kwenda chama kingine ni sawa kwa Tanzania nzima. Kwa nini Halmashauri ya Wilaya ya Hai walimu wake washindwe kuhama wakati Utaratibu wamefuata kama walimu wa halmashauri nyingine?
Walimu Wameichoka CWT, ni Wizi ni Rushwa kila kukicha. Mfano mzuri tu Mwekahazina wa Sasa wa CWT wilaya ya Hai anafanya kazi kwenye ofisi za CWT-Hai bila taratibu za kikatiba kufatwa.
Sasa Walimu wanataka kukiacha CWT bado wanawekewa vipingamizi ili wasiondoka.
Kwa nini Halmashauri ya Wilaya ya Hai walim washindwe kuondoka?
Mhe.Waziri TAMISEMI Innocent Bashungwa njoo uone walimu wako wanavyonyimwa haki za kuchagua chama cha wafanyakazi.