Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakati kampeni zinaendelea kupamba moto mpaka sasa hatujawasikia Mkapa, Mwinyi, Msuya, Warioba na Sumaye wanampigia kampeni Kikwete....kuna tatizo gani? au ndo wamemtosa? Nyerere alimsaidia sana Mkapa kuingia madarakani kama mnakumbuka.

Ninaona hiyo siyo sababu ya msingi ksa ccm ya waislamu??Ahamed Salim yupo wapi??Mwinyi anakila sababu kwani utawala wa Ben ulimtosa!Jk ndo akamrudi ktk system
Umesahau ni majuzi tu
Mwinyi 'alibusu' pete la kuume la Jakaya. Ondoa jina la Mwinyi. Misikiti tu inamtosha kumpigia debe JK (nadhani umeskia skia kuhusu baadhi ya watu (Londa) kufanya kampeni Misikitini).
Hao wanaobaki (Ben, Cleo, Jose, na Fred) sababu ni moja tu: "SIYO WAISLAMU"