GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Heshima zenu wakuu.
Hivi karibuni, 11/04/2024, niliotesha miche michache ya matunda ya apple. Ilikuwa miche mitatu, na nililietewa toka Kenya.
Lakini mmoja wa hiyo miche imetoka michipukizi yanayofana na maua lakini sina uhakika kama ni maua, hasa ikizingatiwa kuwa "majuzi" tu.
Hiyo alhalibni ya kawaida?
Hayo ni maua au matawi?
NB. Ni mmoja tu ndiyo umetoa michipukizi rangi kama nyekundu (lakini siyo nyekundu) nisiyo na uhakika nayo kama ni maua au la.
Ni kama ionekanavyo pichani. Picha zote ni za huo mmea mmoja.