Kulikoni Iron Lady Zakhia Meghji

mfianchi

Platinum Member
Joined
Jul 1, 2009
Posts
11,904
Reaction score
8,371
Leo nimeona picha ya wana magamba ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwananchi,kilichonishtua ni hali ya aliyekuwa Iron lady wakati fulani Zakhia Meghji,kawa mdogo si kama yule mama aliyekuwa na siha au tuseme ndio kufanya diet huko jamani,kila la kheri Zakhia Meghji endeleze libeneke la kujivua gamba huko magambani
 
Law of diminishing return ina apply
 

Hana cheo serikali posho na malupulupu hakuna njaa inamuuma sasa
 
Ni kweli amepungua na rangi ya mtume imetoka kabisa,labda anaumwa.
 
na pesa anazo kwanza kila kiwanja chache cha pale namanga kashapiga bati anasubiri kushusha apartments

zile apartments zake za kule Mbezi beach japo wanamsingizia za epa zinalipa

sasa what more could she ask for?
 
Nadhani anatafunwa na laana ya madudu aliyowafanyia watz.
 
Hapa ndipo ninapoamini yaliyoandikwa katika misahafu yaani unakuja duniani bila kitu na utaondoka duniani bila kitu sasa sijui kwanini tunaamua kuwakwaza na kuwadhulumu wengine eti kwa sababu tuna madaraka serikalini!!!
 
Mola amjalie afya njema! japo umri unamtupa mkono anapaswa aukumbuke ule mfano wa tajiri mpumbavu ambae baada ya mavuno na kujaza ghala zake alikaa chini akauambia moyo wake utulie unywe ule ufurahi, kumbe Maulana alishamtuma Israel mtoa roho kunyakua roho ya tajiri yule.
 
Umbea tu. Zakia Meghji anakula kuku kwa mrija. Acheni hizo. Umri tu ndio unaomsumbua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…