Mola amjalie afya njema! japo umri unamtupa mkono anapaswa aukumbuke ule mfano wa tajiri -------- ambae baada ya mavuno na kujaza ghala zake alikaa chini akauambia moyo wake utulie unywe ule ufurahi, kumbe Maulana alishamtuma Israel mtoa roho kunyakua roho ya tajiri yule.
Leo nimeona picha ya wana magamba ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwananchi,kilichonishtua ni hali ya aliyekuwa Iron lady wakati fulani Zakhia Meghji,kawa mdogo si kama yule mama aliyekuwa na siha au tuseme ndio kufanya diet huko jamani,kila la kheri Zakhia Meghji endeleze libeneke la kujivua gamba huko magambani
Mungu akamtuma Israel?
Unajua maana ya Israel?
Katika neno Israel
Lina neno -EL mwishoni ambapo inamaana ya Mungu.
Maana ya Israel ni mteule wa Mungu wala sio mauti kama wenye chuki na Taifa teule wanavyojifariji.
Alafu pia ni jina la mtu ambaye zamani aliitwa Jacob ni vyema kujifunza kitu kwanza kuliko ku take for granted.