Mmmmh labda kulikuwa na habari zingine muhimu zaidi kiasi kwamba muda haukutosha kuingiza habari ya SSC.....au hata pengine waandishi wao wote wa michezo walikuwa kwenye bonanza la wiki ya NSSF ambapo team ya IPP (The Dream Team) ilikuwa ikipepetana na timu ya Wizara ya habari na hivyo kutotuma ripota wao katika mchezo wa SSC na Azamu FC (wana ramba ramba).
Wana Simba mmekereka?...kama vipi lipieni kipindi maalumu ITV ili wawarushe kwa saa nzima.
Otherwise sioni kama kuna chuki binafsi.......mbona hata ushindi wa Man U wa jana ITV hawakutangaza? Au pia wana ugomvi na viongozi wa Man U???
Kweli hata mimi nilishangaa jana hawakutangaza kabisa habari hizo. Nikabaki kuchungulia TBC1 kwa sababu walisema kwenye muhtasari. Kitenge naona kazeeka vibaya. Labda wakuwa wao wamekataza.Nimeshangazwa na kitendo cha ITV kutotangaza michezo ya Simba SC hata kwa tukio kubwa kama la kutwaa ubingwa wa Vodacom Premier League. Nimeambiwa eti wamewanunia viongozi wa Simba kwa sababu waliwakatalia kurusha 'live' moja ya mechi zao. Kwa maoni yangu huo sio uamuzi sahihi. Ni 'very unprofessional', inabidi ITV wajirudi kabla ya kupoteza umaarufu. Watambue kwamba Simba ni klabu kubwa na ina wapenzi wengi ndani na nje ya nchi. Great Thinkers wengine mnalionaje hili?
Mmmmh labda kulikuwa na habari zingine muhimu zaidi kiasi kwamba muda haukutosha kuingiza habari ya SSC.....au hata pengine waandishi wao wote wa michezo walikuwa kwenye bonanza la wiki ya NSSF ambapo team ya IPP (The Dream Team) ilikuwa ikipepetana na timu ya Wizara ya habari na hivyo kutotuma ripota wao katika mchezo wa SSC na Azamu FC (wana ramba ramba).
Wana Simba mmekereka?...kama vipi lipieni kipindi maalumu ITV ili wawarushe kwa saa nzima.
Otherwise sioni kama kuna chuki binafsi.......mbona hata ushindi wa Man U wa jana ITV hawakutangaza? Au pia wana ugomvi na viongozi wa Man U???
Wana Simba mmekereka?...kama vipi lipieni kipindi maalumu ITV ili wawarushe kwa saa nzima.
Nimeshangazwa na kitendo cha ITV kutotangaza michezo ya Simba SC hata kwa tukio kubwa kama la kutwaa ubingwa wa Vodacom Premier League. ]
Inavyofahamika mitaani ni kuwa Kaduguda ndio aliowakataza kutangaza habari za ssc, na kilichopelekea hayo yote ni siku ambayo kaduguda alipowakomalia ITV wasioonyeshe pambano lao live licha ya kuruhusiwa na TFF, na nusura avunje baahi ya vifaa vya bei mbaya vya ITV. Kichaa kama hicho kwa viongozi wa ssc si kigeni....hata siku za nyuma kiongozi mmoja aliyetoa habari kuhusu mgogoro ndani ya klabu yao..na alipobanwa na wenzake akaamua kijitetea kuwa sauti waliyoisikia haikuwa yake na kupiga marufuku habari zao zisitangazwe.
.
Ushawahi kumuona R. Murdoch kwenye TV? Ushawahi kuona pati ya wafanyakazi wa CNN kwenye TV ? Kamwe!."
Hii ilianza wakati viongozi wa Simba walipotaka kuyavunja vifaa vya kurushia matangazo vya ITV uwanja wa uhuru. Simba waliwazuia waandishi kutangaza habari ya simba siku ile na kuanzia hapo ITV hawakujishughulisha tena na Simba. Wamesusa!!!!! Nadhani uongozi wa TFF inabidi kufanyia kazi hili ili timu zetu zipate kuonekana zikicheza na umma uhabarishwe vizuri.Mwanzoni walikuwa wanatangaza kwa kuwa walikuwa wanapata maslahi yao kama vile kupitia matangazo ya mechi. Sasa hivi hawatangazi kwa kuwa hawapati maslahi makubwa. Ujumbe huo huo wanaupeleka kwa waandishi wao individually, kwamba kama kuna mshiko (bahasha) leteni habari kituoni itangazwe vizuri. Kama hakuna mshiko (bahasha) msiilete habari kituoni (hata kama ni nzuri). Similarly, this applies kwa habari isiyo nzuri/iliyo mbaya. Kama kuna mshiko basi utolewe ili habari mbaya isitangazwe, kama hakuna mshiko basi habari mbaya itatangazwa. So, generally wanatupa picha kwamba maslahi binafsi kwanza, halafu baadaye maslahi ya taifa (kama wakipenda). HII NI RUSHWA kwa kuwa mwandishi/kituo cha matangazo hakiwajibiki equally eti kwa kuwa kilinyimwa fursa ya pesa!
Kwani CNN ndo benchmark ya perfection ama professionalism? Mambo mangapi ambayo hasiyo na interest na matakwa ya wamarekani tunayaona hayatangazwi na CNN?
ITV sio chombo cha kwanza kususia kutoa habari za taasisi ama mtu fulani......je umesahau mwaka juzi jinsi ambavyo jukwaa la wahariri lilivyoshawishi vyombo vya habari hapa nchini kususia kutangaza habari za Waziri wa Habari na Utamaduni Mh. Mkuchika?
Haya mambo yanatokea dunia nzima....fuatilia yanayoendelea Indonesia sasa hivi utabaini ninachokizungumza.