c kweli kwamba simba waliwaambia lakini ata kama ni kweli mbona Nipashe wanaandika? kwani ata kama hukiambiwa usiandike kwani we binafsi hujui taaluma yako inataka ufanye nini? kwani simba ni ya mtu mmoja? wakikaa simba kama kikao na kutoa barua apo sawa lakini c kwa porojo porojo tu, waandishi wa ITV hawana maana..
kabla ujawalaumu viongozi wa simba kukataa itv wasionesha mechi yao live kisa mapato yatakuwa madogo uwanjani,umejiuliza kama itv walilipa timu hela zozote hili kuonesha mechi hio live?Hii ilianza wakati viongozi wa Simba walipotaka kuyavunja vifaa vya kurushia matangazo vya ITV uwanja wa uhuru. Simba waliwazuia waandishi kutangaza habari ya simba siku ile na kuanzia hapo ITV hawakujishughulisha tena na Simba. Wamesusa!!!!! Nadhani uongozi wa TFF inabidi kufanyia kazi hili ili timu zetu zipate kuonekana zikicheza na umma uhabarishwe vizuri.
aliyefanya uamuzi huu wa kipuuzi angekuwa karibu yangu ningemzaba vibao vitatu vya haraka...Nimeshangazwa na kitendo cha ITV kutotangaza michezo ya Simba SC hata kwa tukio kubwa kama la kutwaa ubingwa wa Vodacom Premier League. Nimeambiwa eti wamewanunia viongozi wa Simba kwa sababu waliwakatalia kurusha 'live' moja ya mechi zao. Kwa maoni yangu huo sio uamuzi sahihi. Ni 'very unprofessional', inabidi ITV wajirudi kabla ya kupoteza umaarufu. Watambue kwamba Simba ni klabu kubwa na ina wapenzi wengi ndani na nje ya nchi. Great Thinkers wengine mnalionaje hili?
Nimeshangazwa na kitendo cha ITV kutotangaza michezo ya Simba SC hata kwa tukio kubwa kama la kutwaa ubingwa wa Vodacom Premier League. Nimeambiwa eti wamewanunia viongozi wa Simba kwa sababu waliwakatalia kurusha 'live' moja ya mechi zao. Kwa maoni yangu huo sio uamuzi sahihi. Ni 'very unprofessional', inabidi ITV wajirudi kabla ya kupoteza umaarufu. Watambue kwamba Simba ni klabu kubwa na ina wapenzi wengi ndani na nje ya nchi. Great Thinkers wengine mnalionaje hili?
2 wrongs doesn't make right...hicho ni chombo cha mtu binafsi na ni chombo cha kibiashara, kama uwalikufata ufanye nao biashara ukaktaa sasa iweje wao wakikataa kurusha habari zako iwe nongwa,
Ukiangalia channel 10, hawasomi kabisa magazeti ya IPP, mbona hilo nalo hujalilalamikia? kuna kipindi hata TBC1 walikuwa hawasomi magazeti ya IPP sijuhi siku hizi lakini pia ulikuwa kimya
tubadilike hiyo ni mali ya mtu binafsi na ndio siasa na aina ya uchumi tuliyoichagua hiyo
hicho ni chombo cha mtu binafsi na ni chombo cha kibiashara, kama uwalikufata ufanye nao biashara ukaktaa sasa iweje wao wakikataa kurusha habari zako iwe nongwa,
Ukiangalia channel 10, hawasomi kabisa magazeti ya IPP, mbona hilo nalo hujalilalamikia? kuna kipindi hata TBC1 walikuwa hawasomi magazeti ya IPP sijuhi siku hizi lakini pia ulikuwa kimya
tubadilike hiyo ni mali ya mtu binafsi na ndio siasa na aina ya uchumi tuliyoichagua hiyo
Hee! mbashiri huko ndiko alikokosea.Kaingia choo cha kike! hayo mautabiri yake apeleke CCM huko ndio wanaishi kwa kutegemea NJOZI. Kumtishia nyau Mnyama ni kosa na kama sio Polisi wangemgalagaza, arudie tena mautabiriyake yasiyo na mpango aoneBora TBC walitupa mpango mzima mpaka jinsi polisi walivyomnusuru Sheikh Yahaya kutoka kwa wananchi wenye hasira waliozingira nyumba yake kwa kubashiri uongo kuwa Simba ingefungwa na Azam. Japo kwa Waziri Mkuchika nako "the revolution will not be televised."
Samahani mkuu, kama umesoma thread vizuri hakuna malalamiko hapo. Usipotoshe! Ni suala la kujadili tu. Mwanzisha thread alitaka kufahamu kulikoni ITV hawarushi habari zinazohusu Simba SC? Wengi wamechangia vizuri, ila wewe ndio unaleta malalamiko.
ITV itabidi wawaombe radhi watanzania kwa upuuzi wanaofanya, ......
Yaani wao hawajui kuwa ni hasara kwao kuliko wa mashabiki wa simba!! nani anawashauri na wanafikiaje uamuzi huu wa kijinga?
aliyefanya uamuzi huu wa kipuuzi angekuwa karibu yangu ningemzaba vibao vitatu vya haraka...
ITV itabidi wawaombe radhi watanzania kwa upuuzi wanaofanya, ......
Yaani wao hawajui kuwa ni hasara kwao kuliko wa mashabiki wa simba!! nani anawashauri na wanafikiaje uamuzi huu wa kijinga?
wa kuisema hasara si wewe, huwezi kuwasemea hasara ITV, na hawana Haja ya kuwaomba msamaha washabiki wasimba, HIYO NI MALI YA MTU BINAFSI, NA HANA MKATABA WOWOTE NA SIMBA, simba wana mkataba na TBL na VODACOM
hii issue ni sawa na ile ya TFF na Dstv na GTV, TFF waliwakatalia Dstv na wakaingia mkataba na GTV, kwa hiyo Dstv wakikataa kuonyesha matokeo ya Tanzania Premier league wana haki hiyo na ni kweli wao wapo na Kenya Premier League kwa sababu wanamkataba nao, HIYO NI MALI YA MTU BINAFSI
MBONA TUNAKUWA WAGUMU KUKUBALI MABADILIKO,
INGEKUWA TBC1 WAMEKATAA KURUSHA HABARI ZA SIMBA HAPO INGEKUWA ISSUE HIYO NI MALI YETU WOTE
Sisi mashabiki wa Yanga tutafidia hasara kama wakideclare kuipata!
Kituko,wa kuisema hasara si wewe, huwezi kuwasemea hasara ITV, na hawana Haja ya kuwaomba msamaha washabiki wasimba, HIYO NI MALI YA MTU BINAFSI, NA HANA MKATABA WOWOTE NA SIMBA, simba wana mkataba na TBL na VODACOM
hii issue ni sawa na ile ya TFF na Dstv na GTV, TFF waliwakatalia Dstv na wakaingia mkataba na GTV, kwa hiyo Dstv wakikataa kuonyesha matokeo ya Tanzania Premier league wana haki hiyo na ni kweli wao wapo na Kenya Premier League kwa sababu wanamkataba nao, HIYO NI MALI YA MTU BINAFSI
MBONA TUNAKUWA WAGUMU KUKUBALI MABADILIKO,
INGEKUWA TBC1 WAMEKATAA KURUSHA HABARI ZA SIMBA HAPO INGEKUWA ISSUE HIYO NI MALI YETU WOTE
Baba vipi!!?? hizo ni hasira au jazba!? Yaani TV ambayo habari zake za michezo haziangaliwi (zimesusiwa) na mashabiki wa klabu kubwa hivi wewe unaona si hasara!! au lisisemwe! aa bwana hilo ni jambo kubwa ndio maana tunalijadili hapa.
Kituko,
Kwani ITV imekuwa mali ya mtu binafsi leo? Mbona siku za nyuma walikuwa wanaonyesha matokeo ya mechi zote za Simba, hata kwa highlight tu?
Tatizo la wenye vibiashara hivi Tanzania, wamejifanya kuwa ni Miungu watu, yaani wasiguswe na wala wasiambiwe ukweli.
Walipotaka kurusha mechi ya Simba, walikatazwa na kuambiwa, hatuna mkataba. Walipotaka kung'ang'ania, wakawatisha. Sasa wamenuna!
Very childish move, as it gives room for their competitor's to take charge. Who is losing now?
C'mon ITV, do you really have a serious marketing team?. Simba hawapotezi kiasi kikubwa kama mnavyopoteza ninyi kwa kutotangaza mechi zao.
One big question, watakapo cheza na Yanga, hawatatangaza???