Kulikoni ITV kutotangaza habari za Simba SC?

swali la maana kabisa hapo ni kwanini ITV wagome kurusha habari za simba, ukiijua sababu ndio utakuwa kwenye position ya kuwalaumu ITV

Kwa Sababu Simba waligoma ITV na Star TV wasirushe live mechi zao
 
Kwa Sababu Simba waligoma ITV na Star TV wasirushe live mechi zao


Hawa ITV wana upeo mdogo sana wa kibiashara, hawaelewi madhara yake sasa na hata baadae.

Basi ikiwa Vipi Mashabiki wa Simba wasusie kuangalia vipindi vyote vya ITV na pia bidhaa za babayake IPP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…