Serikali ya Nigeria imethibitisha kuwasili kwa takriban wanajeshi 100 kutoka nchini Marekani, walioitwa rasmi kusaidia kutoa mafunzo, utaalamu wa kiufundi, na ushirikiano wa kijasusi kwa jeshi la nchi hiyo.
Hatua hii inakuja wakati Marekani ikiimarisha operesheni zake za kuwalenga waasi wa Kiislamu katika ukanda wa Afrika Magharibi.
Hata hivyo, kuwasili kwa wanajeshi hawa kumechochewa na shinikizo la kidiplomasia kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, ambaye hivi karibuni aliishutumu Nigeria kwa kushindwa kuzuia mashambulizi ya kijihadi dhidi ya raia wa imani ya Kikristo kaskazini magharibi mwa nchi hiyo
=================================
View attachment 3545085
About 100 U.S. troops plus equipment have arrived in Nigeria to help train soldiers in the West African country as the government fights against Islamic militants and other armed groups, the Nigerian military announced Monday.
The arrival followed a request by the Nigerian government to the U.S government for help with training, technical support and intelligence-sharing, the military said in a statement.
The deployment follows an easing of tensions that flared between the U.S. and Nigeria when President Donald Trump said the country wasn’t protecting Christians from an alleged genocide. The Nigerian government has rejected the accusation, and analysts say it simplifies a very complicated situation in which people are often targeted regardless of their faith.
Source: NBC News