Kulikoni jina mwanamuziki Justin bieber kuwepo kwenye list ya wanawake mashuhuri ulimwenguni?

Msomi hewa

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
768
Reaction score
1,066
Wakuu habari za mda huu,

Nisipoteze mda sana iko ivi;

Kulikoni jina mwanamuziki maarufu Justin bieber kuwepo kwenye list ya wanawake mashuhuri zaidi ulimwenguni?

Naombeni mnitoe tongo tongo kwenye hili.

Nawasilisha.
 
Tayari ushapoteza Muda wetu
 
Tuwekee hiyo list ya Wanawake mashuhuri duniani ambayo inaonyesha Bieber ni mmoja wao ili tuweze kuthibitisha ukweli wa ulichoandika.

Wakuu habari za mda huu,

Nisipoteze mda sana iko ivi;

Kulikoni jina mwanamuziki maarufu Justin bieber kuwepo kwenye list ya wanawake mashuhuri zaidi ulimwenguni?

Naombeni mnitoe tongo tongo kwenye hili.

Nawasilisha.
 
...Endelea kuona, Siku ukiona kwa karibu utanitaarifu!
Sawa ntakutaarifu lakini siku nyingine jifunze kuwasilisha kitu mbele ya hadhira hii thread yako ilivyokosa evidence sisiti kuiita thread ya mwendokasi
 
Tuwekee hiyo list ya Wanawake mashuhuri duniani ambayo inaonyesha Bieber ni mmoja wao ili tuweze kuthibitisha ukweli wa ulichoandika.
.........International pop sensation Justin Bieber has left fans stunned after announcing a planned sex change operation that will see Justin transition from female-to-male.

The singer of such hits as ‘Baby’ and ‘Never Say Never’ said that it was a decision made after many discussions with friends and family.

‘I was born as a girl 22 years ago but from an early age I showed many tomboy traits. My parents named me Justine but soon everyone started calling me Justin because everyone, myself included, identified me more as a boy. That is why I have decided to take the huge step of undergoing a sex change operation so that I can legally become a man,’

said Justin in an emotional press conference.
It was also revealed that Justin has already begun a course of testosterone to aid masculinity and facial hair growth.

The news has left fans stunned but most have offered their support to Bieber.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…