Kulikoni jina mwanamuziki Justin bieber kuwepo kwenye list ya wanawake mashuhuri ulimwenguni?

Wakuu habari za mda huu,

Nisipoteze mda sana iko ivi;

Kulikoni jina mwanamuziki maarufu Justin bieber kuwepo kwenye list ya wanawake mashuhuri zaidi ulimwenguni?

Naombeni mnitoe tongo tongo kwenye hili.

Nawasilisha.
Justin Bieber ni shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…