Kulikoni jolly club!!!

[/I][/COLOR]

...kwa hiyo new comers kwenye bussiness hizi ni wachache kwa sasa.
Ahsanta Rugas..... naona umenipata point yangu, mimi nilikuwa nawamind hasa hao new comers
 


Ukweli uliopo ni kuwa wale wasichana uliokuwa ukiwaona pale jolly wengi wao ni wameathirika (keriya) na wavulana wengi walikuwa wakitembea nao baadhi yao hatupo nao na wengine hali zao haziridhishi , hilo jinyororo ni kubwa na ndio mana ilifika wakati watu wanatafutana kutaka kuchinjana,kilichotokea baada ya hapo kila mmoja wao akaingia gizani.binafsi ningekushauri kama Mtanzania mwenzangu kutokana na kauli yako na mwenendo wako wakati ulipokuwa unafika pale jolly Bar, ni vizuri ukachunguze afya kwa faida yako na jamii kwa ujumla .
 
Ukweli uliopo ni kuwa wale wasichana uliokuwa ukiwaona pale jolly wengi wao ni wameathirika (keriya) na wavulana wengi walikuwa wakitembea nao baadhi yao hatupo nao na wengine hali zao haziridhishi , hilo jinyororo ni kubwa na ndio mana ilifika wakati watu wanatafutana kutaka kuchinjana,kilichotokea baada ya hapo kila mmoja wao akaingia gizani.binafsi ningekushauri kama Mtanzania mwenzangu kutokana na kauli yako na mwenendo wako wakati ulipokuwa unafika pale jolly Bar, ni vizuri ukachunguze afya kwa faida yako na jamii kwa ujumla
.....THANX BABYLON.. NASHUKURU KWA USHAURI WAKO. LAKINI HUWA NIKIENDA PALE NAKUWA NA ZANA KAMILI, SIPIGI KAVUKAVU
 
Nadhani pale Q-Bar ukienda hauwezi kukosa, ehhem ila mimi naendaga kuangalia mechi tu pale
 
dah hii kali lakini poa tu tii kiu yako ingawa ukweli uko pale ukimwi unauwa baba ila nadhani kunasehemu dar wanapaita mlimani city ndio nasikia kunavidosho nowadays
 
Nadhani wale unaowatafuta wewe wako wanajiuguza makwao na wengine washakitoa, si unajua aids inakula slowly. Vp umepima karibuni.
 
nimepima kaka...niko fiti

Hujaulizwa majibu kaka!! kama ni Dau naweza kuweka! wewe ni mgonjwa!!!
Condom inazuia 80%. Do you know That!!
Every ***** you take!! you have a 20% chance of contacting HIV.
wewe ushabeba machangu wangapi?
pole sana kakaangu!! am just pitying you!!!
kwanini unajichimbia kaburi ukiona.
mzee ikifika wakati wa kuvishwa nepi utatesa wengi.
ukimwi upo!!!
ukimwi unauwa!!!
kaka bado tunahitaji Mchango wako hapa JF!
Badili tabia kakaaa!!
we still love you brother.
BEHAVIOR CHANGE IS POSIBLE!!!
Hakuna Entertainment nyingine unaweza ku enjoy?
If you Drink I can give you the best Comapny.
Tunapata tusker zetu mbili tatu huku tunawatania ma Bar maid. siku inapita.
Achana na machangu kaka ni nomaaa!
Huoni kinyaaa. yaani m2 ktoka ku**** in 10mins anakuja kwako na wewe unafakamia!!!
Kuna raha yoyote hapo kweli??
please please!! Brothers, Lets fight against this!!!







 
...nimekupata. lakini huwa natumiaga kondom za high quality, na ninavaa mbili mbili
 
Good advice, but bad use of stats here. You have 20% chance of the condom not working correctly, you also have to factor in the chance of your partner actually having HIV (7% in TZ but higher for prostitutes) and the chance of transmission actually occurring from that positive partner (around 1 in 500 if I recall). So the end "chance" of contracting HIV is much lower.
 
Kuna thread moja hapa JF watu wamekomalia kumdhalilisha mzee Liumba ambaye hakuna mwenye ushahidi kuwa ameathirika, amewala hao mademu wote, au alikuwa hatumii condom.

Wanaacha kumuumbua huyu sakala aliyeandika thread hii na kujisifu kuwa yeye ni malaya na hawezi acha coz anaupenda.

P.umbaav
 
mimi sikushauri kwenda kwa machangu kwani ulimwengu wa sasa ni mbaya sana chunga sasa usije ukachukuliwa na magunjwa pili kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu mwana utakuja juta kumbuka majuto ni mjukuu
 
Nasikia huduma zimehamia kwenye Massage Palours (spar). Huko ndiko yanakofanyika yaliyokuwa yanafuatwa Jolly, Q-bar, Ambiance, Kili time (enzi zake) etc.

Sijathibitisha hilo maana ni hadi ufike uipate ndo utathibitisha.

NOTE: AIDS KILLS
 
hujasikia maneno yanayosema msiikaribie zinaa??
Kimbia dhambi, MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI.
Noted with thanks BB
Umewakilisha vyema Mpwa
Najua Nguli atakugongea Senks akiiona hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…