Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Kuna nini nyuma ya pazia kwanini kesi za ulawiti na unyanyasaji kwa watoto zimeshamiri lakini hatuoni wahalifu wakipewa adhabu kali?
Inawezekanaje mtoto wa miaka 4-15 kulawitiwa au kuingiliwa na watu wazima kila mara lakini hatuoni wahalifu wakipewa adhabu kali za kutisha?
Au siku hizi walawiti hawafungwi? Kwanini kesi hizi zinachukuliwa kirahisi sana wakati watoto wanaathirika na sehemu zao za siri zinaharibiwa vibaya sana?
Je, tatizo liko wapi ni sheria haijakaza ama ni kesi hizo kutatuliwa na wanajamii?