Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Habari za siku wana Jamii Forum? Mimi ni mdau ambaye nafuatilia tasnia ya burudani... Majuzi nimeshangazwa na habari kuwa Bendi ya Twanga haitafanya tena maonesho pale Leaders club na leo nimepata mshituko baada kupata habari ya onesho la msanii Been Man kutoka Jamaica litafanyika Uwanja wa Chuo cha TTCL KijitonyamaMwenye jibu kuwa nini kinaendelea atujuze
Kuhusu kwa nini msanii Been Man kutoka Jamaica atafanya onyesho lake kwenye uwanja wa chuo cha TTCL, labda ungetwambia wewe ulitegemea onyesho hilo lifanyike wapi na kwa nini unafikiri lilipashwa kufanyika hapo ulipopafikiria badala ya uwanja chuo cha TTCL.
Tiba
Wamekatiwa maji baada ya kushindwa kulipa ankara za maji za DAWASCO