haya majitu ni ya kupiga fimboHuku kukiwa bado kuna fukuto kubwa la kuvunjika Kwa penzi lake na Kajala harmonize amejikuta kwenye vita nzito na mwanadada presenter Maimartha Jesse..
Eeh bhana eeeh mwanadada presenter Maimartha Jesse inasemekana ametishia mpak kumpeleka mahakamani Konde boy , Kwa kile kinachodaiwa kumtishia kumuua.
Katika pita pita zangu nikiwa nafanya utalii Instagram nikakutana na clip yenye majibizano makali Kwa njia ya simu Kati ya Maimartha Jesse na Konde boy .... Nini kimetokea , wajuzi mtujuze
View attachment 1748071
Tena ni 'Umama'..Mwanaume kujibizana na mwanamke ni ujinga
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]unatumalizia mb kijinga kabisa
Maimartha Jesse alikuwaga dada mrembo sana miaka ya 2003. Bado sijaona mrembo kama Mai aiseeHuku kukiwa bado kuna fukuto kubwa la kuvunjika Kwa penzi lake na Kajala harmonize amejikuta kwenye vita nzito na mwanadada presenter Maimartha Jesse..
Pole mkuu, safari inaendelea pambana Mungu akutangulie...next time uwe ni wewe.Nilitumiwa e-mail kuwa nimefeli ile oral interview
Asante sana kaka mkubwa. Mungu akubariki sana kwa kunitakia mema.Pole mkuu, safari inaendelea pambana Mungu akutangulie...next time uwe ni wewe.
Dah mimi Evelyn mimi ndio kaka!Asante sana kaka mkubwa. Mungu akubariki sana kwa kunitakia mema.
Ila mjinga zaidi ni huyu jamaa aliyebeba story instagram alaf anakuja kutuuliza sisi huku as if tunaundugu nao.Mwanaume kujibizana na mwanamke ni ujinga