Kama ilivyo taratibu Mkandarasi ukiishamaliza utekelezaji wa mradi uliopewa na TARURA kwa kipindi husika na ikakaguliwa vizuri na kukidhi viwango unatakiwa ulipwe katika muda wa wiki moja.
Wengi wa Wakandarasi wamemaliza baadhi ya miradi waliyopewa na TARURA na mpaka sasa hawajalipwa licha ya ufuatiliaji wa karibu.
Ikimbukwe kuwa bajeti ya mwaka huu kuna tozo iliongezwa kwa ajili ya kuwezesha TARURA kutekeleza miradi mingi ya vijijini lakini bado naona bado kuna mkwamo wa aina fulani.
Tunaomba tulipwe na wengi wetu tulikopa kutoka kwenye mabenki na benki haina habari kuwa mkandarasi hajalipwa na riba iko pale pale.
Hapa ndiyo tunamkumbuka Mhe. Rais wa awamu ya tano. Wakati wake mambo hayakuwa kama ilivyo sasa.