Kulikoni Matawi Ya CCM Huko Majuu?

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
9,836
Reaction score
7,231
Huku bongo tunaona kwenye mablogu jinsi chadema ilivyoteka marekani kwenye huu mkutano wao ujulikanao kama M4C. Kabla ya hapa siku za nyuma kulikuwa na kamcheo ka kijinga kwa watanzania kufungua matawi ya CCM huko majuu na tukawa pia tunaona kila kukicha kwenye mablogu. Ingawa funguzi za matawi ya CCM zilishamiri lakini hazikuwa na watu kama tuonavyo kwenye hii ya chadema na M4C yao. Je, ndugu zetu huko marekani na sehemu zingine duniani hao wenzenu wa matawi ya CCM wanajisikiaje kuona mnakuja juu hivi? Na je, kuna mgawanyiko wowote ule wa vyama huko? Tunaomba mtujuze, wana CCM wangapi wamechana kadi zao za chama baada ya M4C kuja huko? Duh, kijana Jakaya na wenziwe wana kazi za ziada kunako 2015 labda lile jeneza lioze kiaina before then :israel:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…