Kulikoni Mavoko a.k.a Billionaire kid kufuta picha insta!?

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
925
Reaction score
550
Kulikoni Mavoko kufuta picha na kubakiza mbili tu katika instagram yake!? Nini tatizo kwani!?
 
wataalamu huwa tunasema ni dalili za shizophenia io
 
Alieweka uzi huu atakua ni mwandishi wa gazeti la Ijumaa au Sani.Maana siamini kma mwanaume anaeza andka uzi kma huu.

Kweli tanzania ya viwanda haiwezekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli wakuu wakati mwingine kabla ujaandika kitu na watu wengi wakisome kwanza kisome wewe Mara mbili mbili afu ukiona kina leta maana kilete sio kama Uzi huu mi binafsi sinaga mipango ya kusoma mipango kama iyo. Inamaana wewe kazi yako ni kufuatilia mambo ya umbea umbea tu angalia sana Mkuu na chunga sana.

Ndugu yang watu hawafanikiwi kwa kujitathimi wao wenyewe tu lazima kuwe na mtu wa mfano kwake ili awe hapo alipo.... Pia hauwezi kukunja ndita kila wakati unahitaji muda kutulia na kujichanganya na watu wengine..... Sidhani hii stori itakua tofauti na zile unazopiga kijiweni kwako au na rafiki zako.... Kuna vitu tu lazima vitokee ili vipotezee muda........
 
Uwez poteza muda wako kwa kuongelea masuala ya mavoko kafanya nn katika maisha yake una mambo mengi sana ya kudickasi ikiwemo kujikwamua katika janga ili LA umaskin na mambo kbao sio kama hili unalolileta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwez poteza muda wako kwa kuongelea masuala ya mavoko kafanya nn katika maisha yake una mambo mengi sana ya kudickasi ikiwemo kujikwamua katika janga ili LA umaskin na mambo kbao sio kama hili unalolileta

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yang hapa duniani si kila mtu anajikwamua na umaskini... Labda uoga wako tu wa kujikwamua unasubir akina Joel Nanauka wake wakuubirie mafanikio
 
Back
Top Bottom