Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 925
- 550
Wewe umefata nini huku mkuu angali unakiwanda!?
Aka kajimbo ka viwanda bado kapo tu
Ndugu yang watu hawafanikiwi kwa kujitathimi wao wenyewe tu lazima kuwe na mtu wa mfano kwake ili awe hapo alipo.... Pia hauwezi kukunja ndita kila wakati unahitaji muda kutulia na kujichanganya na watu wengine..... Sidhani hii stori itakua tofauti na zile unazopiga kijiweni kwako au na rafiki zako.... Kuna vitu tu lazima vitokee ili vipotezee muda........Kweli wakuu wakati mwingine kabla ujaandika kitu na watu wengi wakisome kwanza kisome wewe Mara mbili mbili afu ukiona kina leta maana kilete sio kama Uzi huu mi binafsi sinaga mipango ya kusoma mipango kama iyo. Inamaana wewe kazi yako ni kufuatilia mambo ya umbea umbea tu angalia sana Mkuu na chunga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwez poteza muda wako kwa kuongelea masuala ya mavoko kafanya nn katika maisha yake una mambo mengi sana ya kudickasi ikiwemo kujikwamua katika janga ili LA umaskin na mambo kbao sio kama hili unaloliletaNdugu yang watu hawafanikiwi kwa kujitathimi wao wenyewe tu lazima kuwe na mtu wa mfano kwake ili awe hapo alipo.... Pia hauwezi kukunja ndita kila wakati unahitaji muda kutulia na kujichanganya na watu wengine..... Sidhani hii stori itakua tofauti na zile unazopiga kijiweni kwako au na rafiki zako.... Kuna vitu tu lazima vitokee ili vipotezee muda........
Ndugu yang hapa duniani si kila mtu anajikwamua na umaskini... Labda uoga wako tu wa kujikwamua unasubir akina Joel Nanauka wake wakuubirie mafanikioUwez poteza muda wako kwa kuongelea masuala ya mavoko kafanya nn katika maisha yake una mambo mengi sana ya kudickasi ikiwemo kujikwamua katika janga ili LA umaskin na mambo kbao sio kama hili unalolileta
Sent using Jamii Forums mobile app