Weka kila kitu hapa kaka,huo baraka na hizo risitiKwa ufupi nimeoneshwa na waraka wa bei mpya elekezi
Nimesikia mahali wafanyabiashara wakizungumza kupanda kwa usafiri wa meli toka USD 2000 hadi USD 8000Jana 29/11/2020 wauzaji wa mbolea wanadai bei elekezi ya kuuzia mbola imeongezeka.
Tarehe 26/11/2020 nimenunua mfuko wa DAP kwa 52,000/ Jana mfuko huohuo naambiwa 66,000/= hii bei mbona inabadiliko kubwa sana hivyo.
Inamaana mamlaka husika ndizo zimepanga bei hii na tukumbuke mbolea haina VAT kwamba bei hii ndo wameona rafiki kwa mkulima anaelisha Taifa hili.
Bado Natekeleza Sera ya "kilimo ni uti wa mgongo"
Ni wakati sasa na wewe utoke uende ukajitegemee. Unapoendelea Kukaa hapo kwa shemeji ndio kunakuvimbisha kichwa usijue hata bei ya sukari. Unasema kulima kumepitwa na wakati wakati huo huo unamsumbua mumeo akununulie unga wa chapatiKulima Lima kumepitwa na wakati
Huyu huyu mzeya wa HARD -WARENi wakati sasa na wewe utoke uende ukajitegemee. Unapoendelea Kukaa hapo kwa shemeji ndio kunakuvimbisha kichwa usijue hata bei ya sukari. Unasema kulima kumepitwa na wakati wakati huo huo unamsumbua mumeo akununulie unga wa chapati
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
Ni wakati sasa na wewe utoke uende ukajitegemee. Unapoendelea Kukaa hapo kwa shemeji ndio kunakuvimbisha kichwa usijue hata bei ya sukari. Unasema kulima kumepitwa na wakati wakati huo huo unamsumbua mumeo akununulie unga wa chapati
Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app