we ukiona thread imewekwa na kaitaba (mimi) haina haja ya kutafuta source au kuwa na mashaka, elewa kuwa ni ukweli mtupu.Lipumba katangaza lini kuwa atagombea ubunge?Kama ni kweli mimi naona ni habari njema sana.Yanini kuhangaika na urais ambao inajulikana wazi kuwa Kikwete atashinda?
Ngangari ni neno wanalotumia CUF. CCM wanatumia Ngunguri! Zaidi kwa 2010 ni JK, hivyo ni bora waende kutafuta majimbo!Najiuliza ni nani sasa atapambana na Kikwete? au wameona kuwa kikwete ni ngangali? wakati sivyo,