Hapana sitafuti hayo huwa nakwenda kupata elimu ya magari, wapo jamaa wanatoa elimu nzuri sasa siku hizi kila nikifika au baada ya kutazama magari yanakuja maudhui hayoTiktok inatabia ya kuonesha mahudhui ambayo huwa unaya-search freguently so we ndo umetaka kuona hayo bro
Hapana hata wanawake hapa mtaani wanalalamika sana kuhusiana na mambo hayoMimi sijaona hayo hata moja.
Kwa hivyo wewe utakuwa unapendelea kufungua maudhui yanayo fanana na hayo.
System imekusoma upendacho.
kwa sababu nchi ulioconnect kwa vpn inaruhusuMtandao wa TikTok umetawaliwa na maudhui ya Ushoga
Umekuwa ni mtandao uliojaa maudhui ya vijana wa kiume wanaojihusisha na ushoga wakijipamba, kunengua viuno na kuonesha miondoko ya kike
Je umegeuzwa kuwa dating website ya mashoga?
Kaka ni algorithm hiyo..Hapana hata wanawake hapa mtaani wanalalamika sana kuhusiana na mambo hayo
Mimi kule nafuata elimu ya magari lakini siku hizi naona hali imebadilika kabisa yamejaa hayo
Kinachonishangaza mimi nafuata elimu ya magari lakini baada ya kumaliza video nikisogea tu wanakuja wadudu hao hata akina mama mtaani hapa wanalalamikia sana hili tatizoKaka ni algorithm hiyo..
Unachokitafuta mara kwa mara au accounts unazozifuatilia zaidi. Mitandao ya kijamii huchukua historia yako na kuanza kutoa suggestions za account au maudhui yanayoendana na interest zako
Mimi guo mtandao niliposikia origin yake ni china bas sijawah kuutumia hata siku moja hakuna simu yangu yenye tiktok hata sikumoja si hilo tu ila kuna visa vya watoto maarufu kufa vifo vya ajabu sana mchina sio mwanadamu kabisa nafikiri ni makao makuu ya ushetani yako china.Kinachonishangaza mimi nafuata elimu ya magari lakini baada ya kumaliza video nikisogea tu wanakuja wadudu hao hata akina mama mtaani hapa wanalalamikia sana hili tatizo
Algorithm inakuletea unavoangalia so kama na wewe ikikuletea unkaaa kuangalia badi haitaacha kamwe kukupa maudhui hayoMtandao wa TikTok umetawaliwa na maudhui ya Ushoga
Umekuwa ni mtandao uliojaa maudhui ya vijana wa kiume wanaojihusisha na ushoga wakijipamba, kunengua viuno na kuonesha miondoko ya kike
Je umegeuzwa kuwa dating website ya mashoga?
Kama unakaaa kuziqngalia hizo video app itaendelea kukupa so wewe search vitu vyako kisha endelea kuenjoyKinachonishangaza mimi nafuata elimu ya magari lakini baada ya kumaliza video nikisogea tu wanakuja wadudu hao hata akina mama mtaani hapa wanalalamikia sana hili tatizo
Ni wanadamu thats y wanakufaMimi guo mtandao niliposikia origin yake ni china bas sijawah kuutumia hata siku moja hakuna simu yangu yenye tiktok hata sikumoja si hilo tu ila kuna visa vya watoto maarufu kufa vifo vya ajabu sana mchina sio mwanadamu kabisa nafikiri ni makao makuu ya ushetani yako china.
True na mimi nimemueleza hivo hivoKaka ni algorithm hiyo..
Unachokitafuta mara kwa mara au accounts unazozifuatilia zaidi. Mitandao ya kijamii huchukua historia yako na kuanza kutoa suggestions za account au maudhui yanayoendana na interest zako
Nilikuwa nataka kumjibu hayo, kuna kitu kinaitwa cookies katika mtandao. Au labda personalization. Sasa ukiangalia hivi vitu huwa vinakuletea relevant content kutokana na searching yakoTiktok inatabia ya kuonesha mahudhui ambayo huwa unaya-search freguently so we ndo umetaka kuona hayo bro
Hahahaaa nimependa sana hili jibu mkuu umejua kumkomeshaaTiktok inatabia ya kuonesha mahudhui ambayo huwa unaya-search freguently so we ndo umetaka kuona hayo bro